Uwanja wa ndege wafunguliwa Kilosa, fursa zatajwa

Morogoro. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka Hamdu Shaka amewataka wananchi wa Kilosa kujiandaa kutumia fursa ya usafiri wa ndege utakaoanza hivi karibuni wilayani humo, huku akieleza namna uwanja huo utakavyochochea uchumi kwa kusafirisha abiria na mizigo. Shaka ametoa wito huo leo Agosti 8, 2025 wakati wa mapokezi ya ndege ndogo ya kwanza iliyotua kwa…

Read More

Afisa mkuu elimu afutwa kazi Ujerumani – DW – 17.06.2024

Afisa wa juu wa wizara ya elimu nchini Ujerumani amefutwa kazi baada ya kushughulikia vibaya mzozo kuhusu uhuru wa masomo na haki ya kuandamana. Sabine Döring ametuhumiwa kutaka kukiwekea vikwazo, pamoja na kupunguzwa kwa fedha zinazotolewa kwa wahadhiri wa vyuo vikuu ambao walizungumza dhidi ya kuondolewa kwa kambi ya waandamanaji wanaounga mkono Wapalestina katika chuo…

Read More

KUNA WA KUMFIKIA CRISTIANO RONALDO KWENYE HILI

  MWAMBA kabisa kipenzi cha watu wengi, anajua kufunga na kushangilia muite Cristiano Ronaldo CR7 Mnyama, moja kati ya mshambuliaji hatari Zaidi kuwahi kutokea tangu dunia inazishwe. Naam!! Jamaa amecheza jumla ya mechi 1230 zenye ushindani, na amefunga jumla ya mabao 901 akiendelea kuisaka rekodi anayodhamiria kuiweka ya mabao 1000 yenye ushahidi wa video. Unaweza…

Read More

Moto unavyozidi kuitesa Marekani, vifo vyafikia 25

Los Angeles. Idadi ya waliofariki kutokana na moto unaoendelea kuteketeza makazi ya watu na maeneo mbalimbali jijini Los Angeles Marekani imeongezeka na kufika watu 25. Taarifa ya kuongezeka kwa vifo hivyo imetolewa alfajiri ya kuamkia leo Jumatano Januari 15, 2025, na Ofisi ya Mganga Mkuu wa Jimbo la Los Angeles huku ikisema idadi hiyo huenda…

Read More

Rita: Ndoa ya aina hii haitambuliki kisheria

Dar es Salaam. Licha ya kufunga ndoa ya dini miaka 10 iliyopita, Jane Elias alijikuta katika sintofahamu baada ya kuambiwa ndoa yake haitambuliki kisheria. Jane ni miongoni mwa wanandoa wengi wanaofunga ndoa katika nyumba za ibada, lakini wengi wao wanapofika kwenye sheria, hujikuta ndoa zao hazitambuliki kutokana na sababu mbalimbali. Jane anasema alifunga ndoa ya…

Read More