Hussein Masalanga atua Yanga | Mwanaspoti
KLABU ya Yanga, imemchukua kwa mkopo wa miezi sita golikipa wa Singida Black Stars, Hussein Masalanga ambaye atahudumu kikosini hapo hadi mwisho wa msimu huu. Uamuzi wa Yanga kumchukua Msalanga umetokana na kipa wake, Khomein Abubakar kupata majeraha ambayo yatamuweka nje ya uwanja kwa muda mrefu. Chanzo kutoka ndani ya Yanga, kimeliambia Mwanaspoti kuwa, Masalanga…