Morocco aita mashabiki Kwa Mkapa
KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’, amewaita mashabiki kujitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Mkapa, kesho Jumamosi wakati timu hiyo itakapokuwa inamalizia mechi za Kundi B dhidi ya Afrika ya Kati, huku akiahidi kuwapa raha kama alivyofanya. Stars inakamilisha ratiba kwa kuvaana na vibonde hao wa kundi hilo, kwani…