
HRW yailaumu Tanzania kwa kuikuka haki za Wamaasai – DW – 31.07.2024
Shirika la Human Rights Watchkwenye ripoti yake hiyo limebainisha matukio ya kikosi cha askari wanaosimamia hifadhi za wanyamapori wakiwashambulia na kuwapiga wakazi katika eneo hilo huku kukiwa hakuna adhabu yoyote inayochukuliwa dhidi ya maafisa hao. Ripoti hiyo pia imesema wanajamii 13 wametoa madai ya kupigwa kati ya Septemba 2022 na Julai 2023. Makaazi ya jamii…