
Mgombea urais Chaumma amnadi mgombea udiwani wa ACT-Wazalendo
Mara. Katika hali isiyotarajiwa na ya kuvutia katika medani ya siasa za upinzani nchini, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu, amemnadi hadharani mgombea udiwani wa chama cha ACT-Wazalendo, Charles Machemba, katika Kijiji cha Kata ya Ikoma, mkoani Mara. Hatua hiyo imeibua gumzo katika medani…