
NEMC IPEWE MENO YA KUFANYA MAAMUZI YASIYOINGILIWA .
Ni kauli yake Mhe. Kasalali Emmanuel Mageni Mbunge wa Jimbo la Sumve Mkoa wa Mwanza, alipokuwa akichangia hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusph Masauni (Mb) aliyoiwasilisha leo kuhusu mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2024/2025 na makadirio ya mapato na matumizi…