
Bado Watatu – 24 | Mwanaspoti
Hata kama nitaendelea kuificha maiti ya Shefa, mtu aliyemuua atakuwa anajua kuwa maiti ya Shefa nimeificha humu ndani. Kama ataamua kunisaliti, anaweza kuwatonya polisi wakaja wakapekua nyumba yangu na kuikuta. Mawazo yote hayo yalipita katika akili yangu na kunikatisha tamaa. Niliona kwamba muda wangu wa kukamatwa na kuhusishwa na mauaji yale ulikuwa karibu sana. Kwanza,…