
BDL ilihamia Taifa Cup | Mwanaspoti
Ushindani wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), ulihamia katika fainali ya mashindano ya Kombe la Taifa kati ya Dar es Salaam na Mara, ambapo ulitokana na ubora wachezaji wa timu zote mbili kutokana na jinsi walivyozoeana wakutanapo kwenye BDL. Mara iliwakilishwa na mastaa kama Baraka Sabibi, Mussa Chacha wanaokipiga JKT ilhali…