
Azam yafanya mabadiliko, Father apewa urais, Popat makamu wake
Azam FC imetangaza mabadiliko ya muundo wa uongozi wake ambayo yanaanza msimu huu. Mabadiliko hayo ni ya muundo wa kiutawala ambapo hivi sasa itakuwa inaongozwa na Rais wa Klabu na sio mwenyekiti. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Septemba 9, 2025 na Azam FC, aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo, Nassor Idrissa ‘Father’ sasa ndiye atakuwa Rais….