Sintofahamu kifo mgombea Chadema, Polisi yafafanua
Kagera. Jeshi la Polisi nchini limesema taarifa za kuuawa kwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wilayani Missenyi mkoani Kagera, Joseph Remigius (52) si za kweli na zinalenga kuupotosha umma. Msemaji wa Jeshi hilo, David Misime kupitia taarifa kwa umma ameeleza hayo leo Ijumaa Novemba Mosi, 2024. Awali kupitia mitandao ya kijamii zilisambaa…