
KONA YA MALOTO: Tafakuri ngumu Tanzania baada ya Oktoba 29
Dhana ya uhuru wa kufikiri na kutofautiana mawazo ni utamaduni bandia Tanzania. Itikadi tofauti za kisiasa ni mpishano wa mawazo ya namna bora ya kujenga taifa. Tanzania, kutofautiana vyama kuna maana sawa na ufuasi wa Mungu dhidi ya shetani. Ni mapambano ya malaika dhidi ya kizazi cha Ibilisi. Najenga muktadha! Chama kimoja kinadhani chenyewe ndicho…