Marekani yairuhusu PEPFAR kuendeleza huduma hizi…
Dar es Salaam. Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imesema Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na Ukimwi (PEPFAR) umejumuishwa katika msamaha wa misaada ya kibinadamu ya kuokoa maisha wakati wa kusitishwa kwa msaada wa kigeni kwa siku 90. Miongoni mwa shughuli zilizoruhusiwa ni pamoja na utunzaji wa watu wenye VVU…