
WATAALAMU WAWATOA HOFU WAKAZI WA ARUSHA KUHUSU KAMERA ZA CCTV
Na Pamela Mollel, Arusha Baada ya Mji Mkongwe, Unguja kufanikisha mradi wa kufunga kamera za ulinzi (CCTV) katika mitaa yake mingi, sasa Jiji la Arusha nalo limeanza kuchukua hatua kuelekea mfumo huo wa kisasa wa usalama. Mpango huo ulianzishwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ambaye kwa sasa anawania ubunge katika jimbo…