Mayele afunga baada ya siku 122 akiweka rekodi mpya Misri
MSHAMBULIAJI wa Pyramids FC na timu ya taifa ya DR Congo, Fiston Mayele amemaliza ukame wa siku 122 baada ya juzi kufunga bao la Ligi Kuu ya Misri katika mechi ya ushindi wa mabao 3-1 wa timu hiyo dhidi ya Ghazl El Mahallah. Mara ya mwisho kwa nyota huyo wa zamani wa Yanga kufunga katika…