
Gamondi, Maximo uso kwa uso Kagame
KWA mara ya kwanza makocha, Marcio Maximo wa KMC na Miguel Gamondi wa Singida Black Stars watakutana Ijumaa ya Septemba 12 katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Cecafa Kagame baada ya kila mmoja kutinga kibabe hatua hiyo. Makocha hao wenye historia ya aina yake kwenye soka la Tanzania, wameziongoza klabu hizo…