KITULO GARDEN MARATHON KUITANGAZA NJOMBE, RC MTAKA AFUNGUKA
Na Mwandishi Wetu MKUU wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amewakaribisha Watanzania hasa wanariadha kushiriki Kitulo Garden Marathon inayotarajia kufanyika Mei 2 mwaka huu. Amesema anaamini mbio za Kitulo Garden Marathon zinakwenda kufanyika katika mwezi mzuri kwani mkoa huo utakuwa na wageni wengi ambao watakwenda kwenye sherehe za Mei Mosi hivyo kupitia mbio hizo washiriki…