BoT yafichua uimara wa uchumi kipindi cha uchaguzi

Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema itaendelea kuboresha hatua za kudhibiti mfumuko wa bei na kulinda thamani ya Shilingi kuhakikisha uchumi utaendelea kuwa imara licha ya nchi kuwa kwenye uchaguzi. Gavana wa BoT, Emmanuel Tutuba, akizungumza na gazeti dada la The Citizen, amesema benki hiyo itahakikisha mzunguko na thamani ya fedha vinabaki…

Read More

Hii hapa sababu bei ya nyama kupaa Tanzania

Dar es Salaam. Wakati uzalishaji wa nyama nchini ukiongezeka kwa asilimia 42.8 kati ya mwaka 2020 hadi 2024, soko la uhakika limetajwa kuwa sababu ya ukuaji huo. Ripoti ya Takwimu Msingi za Tanzania zinazotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) 2024, inaonesha kuwa uzalishaji wa nyama ulitoka tani 738,166 mwaka 2020 hadi kufikia tani…

Read More

DK.NCHIMBI AENDELEA KUINADI ILANI UCHAGUZI MKUU, KUOMBA KURA ZA KISHINDO KWA CCM

Na Mwandishi Wetu,Katavi MGOMBEA Mwenza wa Urais wa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, ameendelea kunadi Ilani ya Chama hicho ya Uchaguzi Mkuu 2025-2030,ambayo kimsingi imelenga kwenda kuboresha maisha ya wananchi na ustawi wa maendeleo katika miaka mitano ijayo. Dk.Nchimbi leo Septemba 9,2025 amewasili mkoani Katavi na kuhutubia wananchi katika Uwanja wa…

Read More

RUVUMA YAFIKIWA ELIMU YA MAZINGIRA- MADINI YA URANIUM

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa elimu ya kimazingira na afya kwa vijiji viwili vya Mtonya na Mandela-Likuyu katika Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma kufuatia Mradi wa Uchimbaji wa Madini aina ya ‘Uranium’ unaotarajiwa kuanza hivi karibuni katika mgodi ulio karibu na vijiji hivyo. Elimu hiyo imetolewa kwa…

Read More

Dk Bashiru avunja ukimya akimwombea kura Samia

Singida. Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Dk Bashiru Ali, amevunja ukimya kwenye kampeni za mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan, akieleza namna alivyopokea kijiti cha urais katika mazingira magumu lakini akalivusha Taifa salama. Dk Bashiru ameeleza hayo leo Septemba 9, 2025 kwenye mkutano wa kampeni za Samia,…

Read More

Barabara ya Mbagala Rangi Tatu-Kongowe kuanza upanuzi

Dar es Salaam. Huenda kilio cha muda mrefu cha watumiaji wa barabara ya Kilwa, kipande cha Mbagala Rangi Tatu hadi Kongowe, kikatamatika baada ya mkandarasi kuanza kupeleka wataalamu na vifaa eneo hilo tayari kuanza kazi. Kipande hicho cha urefu wa kilometa 3.8 kinatarajiwa kutumia siku 450, sawa na miezi 15, hadi kukamilika kwake na kitakabidhiwa…

Read More

 ‎Lissu ahoji mashahidi wake kuwekwa kando

‎‎Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameibuka na mapya akiilalamikia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, pamoja na mambo mengine kwa kutokuorodhesha mashahidi anaokusudia kuwaita mahakamani katika kesi ya uhaini inayomkabili. Miongoni mwa mashahidi aliodai aliwataja lakini hawakuorodheshwa ni Samia Suluhu Hassan, Dk Philip Mpango na Kassim Majaliwa. Lissu…

Read More

SAU yakomaa na kilimo | Mwananchi

Dar es Salaam. Chama cha Sauti ya Umma (SAU), kimezindua rasmi kampeni zake za uchaguzi mkuu huku  mgombea urais kupitia chama hicho, Majalio Kyara akiahidi kusimamia kilimo hai ili kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi. Akizungumza katika uzinduzi huo leo Jumanne Septemba 9, 2025, katika Viwanja vya Ukonga Mombasa, Dar es Salaam Kyara amesema kilimo ni…

Read More