
MIZINGA YA NYUKI KUTUMIKA LONGIDO KUKABILIANA NA UVAMIZI WA TEMBO
Na Mwandishi wetu,Longido Shirika lisilo la kiserikali la Kilimanjaro Resource Centre (KRC) limegawa mizinga 100 kwa vikundi vya ufugaji nyuki katika kijiji cha Lerang’wa Tarafa ya Enduimet wilayani Longido, mkoa Arusha, ili kupunguza migogoro kati ya binadamu na Tembo na watumie mizinga hiyo, kama uzio ili Tembo wasiendelee kuvamia mashamba na kufanya uharibubu wa mali…