Huduma za Benki ya CRDB sasa viwango vya kimataifa

 Dar es Salaam. Tarehe 8 Septemba 2025: Baada ya saa 72 za maboresho ya mfumo wa uendeshaji wa benki (Core Banking System), huduma za Benki ya CRDB sasa zimerejea zikiwa bora, zenye kasi kubwa zaidi kukidhi viwango vya kimataifa. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela amesema Benki iliweka juhudi kubwa kuhakikisha jambo hili…

Read More

SHAYO AAPA KUIFANYA MOSHI KUWA MJINI WA KISASA

Na Pamela Mollel, Moshi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Moshi Mjini kimezindua rasmi kampeni zake za uchaguzi, huku mgombea wa ubunge wa jimbo hilo, Ibrahimu Shayo, akiweka wazi ajenda na dira yake ya kuibadilisha Moshi kuwa miongoni mwa majimbo bora zaidi nchini. Akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza, Shayo aliwaomba kumpa ridhaa ya kuwatumikia ili…

Read More

Wazazi wanaoshawishi wanafunzi darasa la saba kufanya vibaya waonywa

Shinyanga. Katibu Tawala Msaidizi Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mkoa wa Shinyanga, Mwalimu Samson Allute Hango, amewaonya wazazi wanaoshawishi wanafunzi kufanya vibaya katika mitihani yao ya mwisho, huku akiwapa matumaini wanafunzi kuwa mtihani utakuwa ndani ya yale waliofundishwa. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Septemba 9, 2025, wakati akitoa taarifa ya wanafunzi watakaofanya mtihani wa…

Read More

Bado Watatu – 23 | Mwanaspoti

Isitoshe, mume wangu alinipigia simu akiwa Dar, akaniambia kwamba anatarajia kwenda Zambia alfajiri ile. Hapo nikaona Shefa hakushambuliwa na mume wangu.Sasa atakuwa ni nani ambaye alimfuata humu ndani? Na ni kwa nini aje amshambulie hapa kwangu? Pia nikajiuliza huyo mtu alijuaje kuwa Shefa alikuwa kwangu mpaka akaja kumshambulia?Swali hilo likanigutusha mimi mwenyewe. Nikajiambia kumbe kuna…

Read More

Taifa Stars v Niger Mechi ya hesabu

KIKOSI cha timu ya taifa, Taifa Stars jioni ya leo kinatarajia kushuka kwenye Uwanja wa New Amaan, Zanzibar kuikabili Niger ikiwa ni mechi ya hesabu za kuisaka tiketi ya kwenda katika Fainali za Kombe la Dunia 2026. Baada ya kukosa tiketi ya moja kwa moja ya kushiriki fainali hizo za mwakani kutokana na Morocco kuinasa…

Read More

Wengine watatu warejesha fomu ZEC

Unguja. Watiania watatu wa kiti cha urais wamerejesha fomu Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) baada ya kukamilisha masharti yaliyowekwa kwa mujibu wa sheria, ikiwamo kupata wadhamini 1,000 kutoka mikoa mitano iliyopo Unguja na Pemba. Idadi hiyo inafanya jumla ya vyama vinne kurejesha fomu za kuomba uteuzi kati ya 17 vilivyochukua fomu hizo vikitanguliwa na Chama…

Read More