Mahakama yawaachia huru washtakiwa vurugu Oktoba 29
Mwanza. Watu saba waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya kufanya vurugu wakati wa Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025, wameachiwa huru na Mahakama ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, baada ya mahakama kutoridhika na ushahidi uliotolewa dhidi yao. Washtakiwa hao pia walikuwa wakikabiliwa na tuhuma za kuchoma majengo ya Serikali, likiwemo la Mahakama ya Mwanzo Kisesa na…