
JKCI YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA FIZIOTHERAPIA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 24
………………… Na Mwandishi Maalumu – Dar es Salaam 09/09/2025 Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imepokea msaada wa vifaa tiba vya kutolea huduma ya fiziotherapia kwa wanamichezo vyenye thamani ya shilingi milioni 24 kutoka kampuni za Physiocare Tanzania na Enovis ya Afrika Kusini. Pamoja na kupokea msaada huo leo jijini Dar es Salaam taasisi hizo…