Mama Mjamzito Apoteza Makazi Magomeni, Afunguka Mazito – Video – Global Publishers
Last updated Jul 24, 2025 Katika hali isiyotarajiwa, nyumba ya familia ya Mzee Kombo Mkabala iliyopo Mtaa wa Idrisa, Magomeni jijini Dar es Salaam, imevunjwa kufuatia mgogoro wa ardhi wa muda mrefu na kuifanya familia hiyo ikose makazi. Tukio hilo limewaacha wakazi wake, akiwemo mjamzito Farashum Mfaume, wakiwa hawajui la kufanya….