Maxime ahofia kitu kwa kikosi chake akiisubiri Fountain Gate
WAKATI Mbeya City ikitamba kuendeleza ubabe Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mecky Maxime ameonyesha hofu ya kukaa muda mrefu bila kucheza akidai inaweza kuwaathiri kesho watakapoikabili Fountain Gate. Pia ameeleza wachezaji wake kuwa fiti baada ya kushinda mchezo uliopita dhidi ya TRA United kwa mabao 2-0 mjini Tabora akidai ni mchezaji mmoja…