ATIDI Yajadili Uwekezaji wa Dola Bilioni 7.8 Tanzania
Waziri wa Fedha wa Tanzania, Khamis Mussa Omar umza wakati wa mkutano huo uliofanyika leo Machi 26, 2026 jijini Dar es Salaam wakati kujadiliana juu ya uwekezaji na biashara yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 7.8 nchini Tanzania katika mkutano wa Bodi ya taasisi hiyo. AFRICAN Trade & Investment Development Insurance (ATIDI) imejadili uwekezaji na…