
Mtanzania aitaka rekodi Misri | Mwanaspoti
BAADA ya kusaini mkataba wa miezi sita wenye kipengele cha kuongeza, mshambuliaji wa Kitanzania, Oscar Evalisto amesema anatamani kuandika historia ya kufunga mabao akiwa na Makadi FC ya Misri. Evalisto alisajiliwa hivi karibuni na timu hiyo inayoshiriki Ligi Daraja la Pili nchini Misri akitokea Mlandege FC ya Zanzibar. Mshambuliaji huyo alikuwa kwenye kikosi cha Mlandege…