
Mambo ‘yametiki’ Simba, kocha mpya huyu hapa
KUNA mambo kadhaa yapo hapa kipindi hiki ambacho mabosi wa Simba wanaendelea kusaka kocha atakayerithi mikoba ya Fadlu Davids, huku mezani jina la kocha mmoja kutoka Madagascar likipigiwa kura nyingi, baada ya kubainika wamekutana na ugumu wa kumng’oa Miguel Gamondi Singida Black Stars. …