Mabilioni kuwainua wakulima wa viungo Tanzania

Wafanyakazi katika kiwanda cha kuchakata viungo Cha Horizon Group wakitayarisha mazao hayo katika mji wa Kaduna. Nigeria. Wakulima wa Viungo nchini Tanzania, Nigeria na Madagascar watanufaika na mipango kabambe wa maboresho ya mazao hayo ili kukidhi viwango vya kimataifa na kukuza mauzo. WAKULIMA wa mazao ya viungo Tanzania wamepata neema mpya kufuatia uamuzi wa kampuni…

Read More

DK.SAMIA SULUHU HASSAN AWAAMBIA WANANCHI WILAYANI BAHI YAJAYO YANAFURAHISHA

Na Said Mwishehe,Dodoma MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) Rais Dk.Samia Suhusu Hassan amepokelewa na maelfu ya wananchi wa Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma huku akitumia nafasi hiyo kuwaeleza wana Bahi kwamba yajayo yanafurahisha. Akizungumza mapema leo Septemba 9,2025 na wananchi wa Wilaya ya Bahi akitokea Dodoma kuelekea mkoani Singida Dk.Samia Suluhu Hassan amepata nafasi…

Read More

TBS YAENDELEZA MAFUNZO YA KANUNI ZA UONGEZAJI VIRUTUBISHO KWENYE CHAKULA

::::::: Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa mafunzo kuhusu ubora, viwango na kanuni za uongezaji virutubishi kwenye mazao ya chakula ikiwemo mahindi, ngano, chumvi na mafuta yaliyosafishwa, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Kanuni ya mwaka 2024,Mafunzo hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salaam yakilenga kuwajengea uwezo wazalishaji, wasambazaji na wauzaji ili kuhakikisha bidhaa…

Read More

LHRC NA NORWAY WASAINI MKATABA MPYA WA MAKUBALIANO

::::::::::::: Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na Ubalozi wa Norway nchini,  wamesaini mkataba mpya wa makubaliano ya ushirikiano wa miaka mitatu wenye thamani ya Krone milioni 19 za Norway, sawa na takribani dola milioni 2 za Kimarekani. Makubaliano hayo yamefikiwa katika hafla rasmi iliyofanyika katika ofisi za makao makuu ya…

Read More

Watoto wanawatazama na kuwafuatilia kina nani?

Dar es Salaam. Watoto ni vioo vidogo vya jamii. Wanachoona ndicho wanachojifunza, na wanachosikia ndicho wanachojaribu kuiga.  Katika zama hizi za mitandao ya kijamii na televisheni, swali kubwa la kujiuliza ni: Watoto wetu wanawatazama na kuwafuatilia kina nani?  Je, wanawafuata watu wanaojenga maadili na kuwapa ndoto za maisha bora, au wanawafuata tu wale wanaoonekana maarufu…

Read More