WAWILI MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI NGURUDOTO.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa wawili Kwa tuhuma za mauaji ya Ndembora Exaud Nanyaro aliyefariki dunia wakati akipatiwa matibabu baada ya kujeruhumiwa na watuhumiwa hao mei 20, 2024 huko katika Kijiji cha Ngurudoto Kata ya Maji ya chai wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha mei 25,2024. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi…