
Nafasi ya elimu ya watu wazima zama za dijitali
Elimu haina mwisho ni methali inayobeba ujumbe kwamba kujifunza ni mchakato wa maisha yote; haijalishi mtu yupo katika hatua ipi ya maisha. Nchini Tanzania, elimu ya watu wazima si jambo jipya, bali ni urithi uliojengwa tangu Taifa likiwa changa kimaendeleo, na leo hii imekuwa nyenzo muhimu katika zama hizi za kidijitali. Hii ndiyo sababu imeifanya elimu…