Shadrack Nsajigwa apania Tanzania Prisons

KOCHA mpya wa maafande wa TZ Prisons, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’ amesema malengo makubwa aliyonayo kwa timu hiyo ni kuhakikisha timu hiyo inajinasua na janga la kushuka daraja, licha ya ushindani mkubwa uliopo msimu huu katika mechi za Ligi Kuu Bara. Nsajigwa aliyeachana na Transit Camp inayoshiriki Ligi ya Championship msimu huu, alitambulishwa rasmi kukiongoza kikosi…

Read More

Kocha Laizer aweka mikakati Fountain

BAADA ya mwenendo mbaya wa matokeo ya Ligi Kuu Bara hadi sasa, Kocha wa Fountain Gate, Mohamed Ismail ‘Laizer’ amesema kazi kubwa aliyonayo katika kikosi hicho ni kutengeneza saikolojia ya wachezaji ili wafanye vizuri kwa mechi zijazo. Akizungumza na Mwanaspoti, Laizer amesema wachezaji wa timu hiyo wanatengeneza nafasi nyingi za kufunga, ingawa suala nzima la…

Read More

Mbuni atwaa taji la ndege wa mwaka 2026 Tanzania

Arusha. Mbuni amechaguliwa kuwa ndege wa Mwaka 2026, baada ya kuibuka mshindi katika kura za kitaifa zilizoshirikisha wapenzi wa ndege nchini na kimataifa, akimrithi ‘kwezi maridadi’ (Superb Starling), aliyeshikilia taji hilo kwa mwaka 2025. Ndege huyo mkubwa zaidi duniani, ametwaa heshima hiyo baada ya kuwashinda washindani wake wanne maarufu wa uwanda wa nyasi katika kampeni…

Read More

Kilio cha madawati Shule ya msingi Ziwani chasikika

Tanga. Shule ya Msingi Ziwani, iliyopo Kata ya Pongwe jijini Tanga ambayo awali ilikuwa na madarasa mawili ya darasa la tano na sita ambayo wanafunzi walikuwa wakikaa kwenye mikeka darasani, sasa imepatiwa madawati 100 ili kukabiliana na changamoto hiyo. Mbali na shule hiyo, Halmashauri ya Jiji la Tanga imekabidhi jumla ya madawati 2,900 kwa shule…

Read More

RAIS DKT.DKT. SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UJUMBE WA TAASISI YA KIMATAIFA YA KEEP A CHILD ALIVE IKULU, JIJINI DAR ES SALAAM.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Keep a Child Alive, Antonio Ruiz-Giménez Jr. na Ujumbe wake pamoja na Mkurugenzi wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation Bi. Doris Mollel, tarehe 1 Machi, 2026 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Pamoja na masuala mengine mazungumzo hayo yalijikita…

Read More

Wakulima wa kahawa Mbinga, wapata tumaini jipya

Mbinga. Wakulima wa zao la kahawa katika Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma, wameanza kushuhudia ongezeko la tija, ubora na bei ya zao hilo, hali inayochochea matumaini mapya ya kuinua uchumi wa kaya na vijiji kwa ujumla. Mathalani, msimu wa mwaka jana, bei ya kahawa ilipanda kutoka wastani wa Sh7,000 hadi zaidi ya Sh11,000 kwa kilo…

Read More

SBL Yazindua Rasmi Serengeti Premium Apple, Kinywaji Ambacho Kimetengenezwa Tanzania

Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua rasmi Serengeti Premium Apple, ikiweka historia kama kinywaji cha kwanza chenye hadhi ya juu ‘Ready-to-Drink (RTD)’ kutengenezwa hapa nchini Tanzania. Uzinduzi huu unalenga kubadili mtazamo wa soko ambalo kwa muda mrefu limetawaliwa na bidhaa za kuagiza kutoka nje ya nchi, kwa kuanzisha bidhaa ya kisasa, ya kiwango cha kimataifa, iliyobuniwa…

Read More