MBAWE JOGGING CLUB YAHAMASISHA USHIRIKI WA KURA NA AMANI
:::::::::: Na Mwandishi Wetu Mbawe Mji Mpya Jogging Club imefanya matembezi ya jogging jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura na kudumisha amani kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu. Akizungumza asubuhi hii mara baada ya kumaliza matembezi hayo, Mwanzilishi na Mweka Hazina wa klabu hiyo, Bi…