Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia Kukupatia Ushindi

JE unajua kuwa unaweza kushinda leo kwenye mechi za kufuzu Kombe la Dunia Mataifa ya Afrika?. Mechi kibao za pesa zipo leo kuanzia majira ya saa 10:00 jioni. Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari ya ushindi hapa. Katika kundi H, kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Equatorial Guinea dhidi ya Tunisia…

Read More

JKU yang’olewa kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika

Yei Joint Stars ya Sudan Kusini imeanza kwa ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya JKU ya Zanzibar kwenye mechi ya kwanza ya kundi C la michuano ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Ulinzi Complex, Nairobi, Kenya. Matokeo hayo yanaifanya JKU kuondolewa kwenye mashindano hayo ya Cecafa kwa Wanawake…

Read More

TPA yaja na mkakati wa soko la DRC

Dar es Salaam. Baada ya mkakati wa maboresho kuongeza ufanisi wa utendaji wake, Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) sasa imegeukia kuyasaka masoko, ikianza na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). DRC inachangia zaidi ya asilimia 40 ya mizigo yote inayosafirishwa kupitia Bandari ya Dar es Salaam, kwa mujibu wa ripoti ya TPA ya…

Read More

Wachambuzi wataja sababu Tanzania kupaa maboresho ya utawala bora kidunia

Dar es Salaam. Wachambuzi wa masuala ya uongozi na utawala bora nchini wamesema mageuzi ya falsafa ya utawala yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kutatua changamoto zilizokuwapo awamu ya tano, yamechangia kupanda viwango kwenye kipimo cha utawala bora duniani. Kauli hiyo inakuja kufuatia ripoti ya Chandler Good Government Index (CGGI) 2025, iliyoonesha kuwa, Tanzania…

Read More

Mpango wa afya kwa wote waanza, 3,561 wakihitimu

Lindi. Safari ya kuhakikisha wananchi wote wanapata huduma za afya bila vikwazo vya kiuchumi imeanza rasmi, baada ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii 3,561, kati ya 137,294 wanaotarajiwa nchi nzima, kuanza kutoa huduma baada ya kupatiwa mafunzo na vitendea kazi. Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Grace Magembe, amesema hayo leo, Jumatatu, Septemba 8, 2025,…

Read More

UN tayari kusaidia Nepal kufuatia maandamano mabaya juu ya marufuku ya media ya kijamii – maswala ya ulimwengu

Polisi walitumia gesi ya machozi na kufungua moto kwa waandamanaji kujaribu kujaribu kutikisa Bunge katika mji mkuu, Kathmandu, kulingana na ripoti za vyombo vya habari. Kutengwa kwa watu kumewekwa katika sehemu za jiji na Rupandehi, na vizuizi kwa harakati zenye ufanisi katika Pokhara. ‘Kwa hivyo tofauti na Nepal’ Mratibu wa mkazi wa UN, Hanaa Fikry…

Read More