Miloud Hamdi: Kocha mpya Yanga kazi ipo hapa!
KOCHA wa zamani Yanga, Miloud Hamdi ana hali mbaya huko Misri kutokana na timu anayoinoa ya Ismalia kufanya vibaya katika Ligi Kuu nchini humo, lakini hilo halijamzuia kufuatili kinachoendelea Msimbazi baada ya Simba kukimbiwa na Kocha Fadlu Davids. …