KenGold yawang’ang’ania Wagosi Sokoine | Mwanaspoti
Bao la kusawazisha dakika ya 90 limeiokoa Ken Gold kupoteza mchezo nyumbani dhidi ya Coastal Union na kufanikiwa kubaki na pointi moja katika Uwanja wa Sokoine jijini hapa. Sare hiyo inakuwa ya tatu kwa timu hiyo baada ya kufanya hivyo dhidi ya Dodoma Jiji 2-2 na Tabora United 1-1 huku ikiendelea kubaki mkiani mwa msimamo…