
Hatima ya Mpina yabaki mikononi mwa majaji kwa siku tatu
Dodoma. Mahakama Kuu Masijala Kuu Dodoma itatoa uamuzi wake Alhamisi, Septemba 11, 2025, katika kesi inayomhusu aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia chama cha ACT–Wazalendo, Luhaga Mpina, dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Kesi hiyo ipo mbele ya jopo la majaji watatu, Abdi Kagomba, Evaristo Longopa, na…