Heche Aibua Hofu ya Usalama wa Tundu Lissu, Ataka Uwazi Zaidi kwa Mamlaka
Global Publishers March 25, 2026 0 Comments Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) Bara, John Heche, ameibua hofu kuhusu usalama wa Tundu Lissu, akisisitiza kuwa mamlaka zinazomshikilia zinapaswa kutoa maelezo ya wazi kwa umma. Heche ametoa kauli hiyo jana 24 Machi 2026 katika viunga vya Mahakama (Judiciary Square) jijini Dodoma, wakati wa mapumziko…