Dereva wa bajaji adaiwa kujinyonga
Njombe. Dereva bajaji, Msafiri Sanga (40), amekutwa amefariki dunia kwa kile kilichoelezwa kuwa alijinyonga, huku chanzo kikitajwa ni wivu wa mapenzi. Hata hivyo, leo Jumamosi Februari, 28 2026 alipotafutwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga kwa njia ya simu ili kupata taarifa rasmi za tukio hilo, simu yake haikupokewa. Mwili wa Sanga ulikutwa…