Bado Watatu – 35 | Mwanaspoti

Raisa alifanya kazi ya ziada kunibembeleza ninyamaze na akanipa moyo kwamba yaliyonitokea ni mitihani tu na kwamba Mungu ataniepushia balaa. Muda wa kulala ulipowadia, Raisa alinikaribisha chumbani mwake. Raisa hakuwa na mume, lakini nilipoingia chumbani mwake niliona suruali ya kiume aina ya jeans imetundikwa kwenye mlango. “Mbona kuna suruali ya kiume humu ndani?” nikamuuliza. “Nina…

Read More

Sh120 milioni kupoza maumivu kuungua Soko la Mashine Tatu

Wafanyabiashara 40 wa Soko la Mashine Tatu katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, waliopoteza bidhaa na mali zao kutokana na ajali ya moto, wamekabidhiwa Sh120 milioni ili kuwasaidia kujipanga upya na kurejesha biashara zao. Fedha hizo, zilizotolewa na kampuni ya bima ya Reliance kwa kushirikiana na Benki ya NMB, ni fidia inayolenga kuwasaidia kurejesha mitaji…

Read More

Waziri: Tunatambua yanayoendelea soko la Darajani

Unguja. Wakati kukiwa na malalamiko na mijadala kuhusu vikosi vya Idara Maalumu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kuwapiga wananchi na kuwanyang’anya bidhaa katika Soko Kuu la Darajani, Serikali imekiri kuwepo kwa kero hiyo na kutaka kusitishwa kwa matumizi ya silaha kuanzia sasa. Hayo yameelezwa leo Jumatano Machi 11, 2026 na Waziri wa Nchi, Ofisi…

Read More

WANANCHI WAHAMASISHWA KUCHAMBUA NA KUREJELEZA TAKA KUELEKEA SIKU YA TAKA SIFURI DUNIANI

………. Dar es Salaam, Machi 20, 2026 Wananchi nchini wametakiwa kujenga utamaduni wa kuchambua taka ngumu majumbani na katika maeneo yao ya kazi, badala ya kuzitupa ovyo, ili kulinda mazingira na kuongeza thamani ya taka hizo kiuchumi. Wito huo umetolewa na Balozi wa Mazingira wa kujitolea nchini, Moses Mwakibolwa, wakati akizungumza kuelekea maadhimisho ya Siku…

Read More

MAONESHO YA MIFUGO KANDA YA ZIWA 2026, KUFANYIKA BUSANDA- SHINYANGA, WADAU WAKARIBISHWA

****** Na. Mwandishi Wetu, MAONESHO ya Mifugo Kanda ya Ziwa (Lakezone Livestock Expo) yanatarajia kufanyika Mei 30-31 mwaka huu, Busanda Mkoani Shinyanga, ambapo wadau mbalimbali wa mifugo wanatarajiwa, kushiriki. Kwa mujibu wa Diana Lukio Ambaye ni Mwandaaji wa maonesho hayo, amebainisha kuwa, yatawakutanisha wafugaji, wakulima na wadau wote kwenye mnyororo wa thamani kutoka Mikoa ya…

Read More

Yanga ilivyomchomoa kocha Uingereza | Mwanaspoti

KATIKA mpango wa kuibua na kuendeleza vipaji vya vijana, Yanga imeonyesha kuwa siriazi na jambo lake baada ya kumchomoa Kocha Mohamed Badru huko Uingereza ambako alikuwa akiinoa May & Baker F.C. Badru atakuwa kocha mkuu wa mradi wa Yanga Soccer School, uliozinduliwa Novemba 15, 2025, ukilenga kutafuta wachezaji wenye vipaji kati ya umri wa miaka…

Read More

Aisha Mohamed mjumbe mpya wa Bodi ya MCL

Dar es Salaam. Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) imemtangaza Aisha Mohamed kuwa mjumbe wa bodi ya kampuni hiyo, na anatarajiwa kuchangia katika kuimarisha na kukuza zaidi shughuli za kampuni hiyo ya habari nchini. MCL, ambayo ni kampuni tanzu ya Nation Media Group (NMG), imeeleza kuwa ujio wa Aisha unaongeza nguvu mpya katika uongozi wa…

Read More

Nahodha Kampala anaitaka rekodi tu

NAHODHA wa Kampala Queens, Shakirah Nankwanga amesema mashindano ya CECAFA kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika ni fursa kwa wachezaji, akitamani kuacha rekodi. Nankwanga mwenye umri wa miaka 23, alijiunga na Kampala Queens akitokea Kawempe Muslim Ladies FC mwaka 2024 na akisaini mkataba wa miaka mitatu. Katika msimu wake wa kwanza, alikuwa mchezaji muhimu akiisaidia timu…

Read More

Itutu: Tutauza gesi kwa Sh3,000, kukomesha ufisadi na rushwa

Mwanza. Mgombea ubunge wa Ilemela kwa tiketi ya chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Shaban Itutu, amesema akiingia madarakani yeye na chama chake watafanya mapinduzi makubwa kuboresha maisha ya Watanzania, ikiwemo kushusha gharama za gesi ya kupikia, kutatua changamoto ya maji, kujenga uwanja wa soka mkoani Mwanza na kupambana na ufisadi na rushwa. Itutu…

Read More

Mwenyekiti mpya CUF kuanza na maridhiano ya ndani

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Mirambo Yusuf ametangaza mipango ya kukijenga upya chama hicho kupitia maridhiano ya ndani yatakayolenga kumaliza migogoro ya muda mrefu iliyokikumba. Mbali na hilo, amesema anatarajia kufanya marekebisho ya katiba ya chama, hususan katika eneo la kuwatambua na kuthamini mchango wa viongozi waliowahi kukitumikia. Kwa mujibu wa…

Read More