
Jesca Magufuli alivyogeuka turufu kwa CCM Kanda ya Ziwa
Dar/mikoani. Moja ya matukio yaliyoibua shangwe katika mikutano ya mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi katika Kanda ya Ziwa, ni uwepo wa Jesca Magufuli ambaye ni mgombea wa viti maalumu kupitia kundi la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM). Huyu ni mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano, hayati…