ACT Wazalendo yaja na mnara kuwakumbuka waliopoteza maisha Oktoba 29
Dar es Salaam. “Machozi ya mama anayesubiri kurejeshewa mwili wa mwanae ni kilio kisicho na sauti, lakini chenye uzito mkubwa kwa taifa”. Huo ndio ujumbe uliotolewa na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, akisisitiza kuwa “machozi ya mama ni deni la taifa” na kwamba Tanzania inahitaji uponyaji wa kweli kufuatia kilichotokea Oktoba 29,…