
NIRC Yaridhishwa Na Kasi Ya Ujenzi Wa Skimu Ya Makwale-Kyela – Global Publishers
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) kupitia Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji wa Miundombinu, Mhandisi Leopord Runji, imefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ikiwemo ujenzi wa skimu ya Umwagiliaji Makwale, iliyopo Kyela mkoani Mbeya. Katika ziara hiyo Mhandisi Runji ameeleza kuridhishwa na kazi inayoendelea na kumtaka Mkandarasi anayetekeleza mradi huo kuongeza nguvu ili kukamilisha…