Ambokile atuliza presha Mbeya City

MSHAMBULIAJI wa Mbeya City, Eliud Ambokile amesema licha ya mwenendo usioridhisha wa kikosi hicho msimu huu katika Ligi Kuu Bara, lakini bado wana nafasi ya kubadilisha upepo mbaya unaowaandama, kutokana na ubora wa wachezaji waliopo kikosini. Akizungumza na Mwanaspoti, Ambokile, alisema bado wana wachezaji wazuri wanaoweza pia kubadilisha hali iliyopo, licha ya ushindani mkali uliopo…

Read More

WAZIRI MBARAWA ASISITIZA THAMANI YA FEDHA KATIKA UJENZI WA CHUO CHA USAFIRI WA ANGA WA BILIONI 78

 ::::::: Waziri wa Uchukuzi, Makame Mbarawa, ametoa maelekezo kwa wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa Chuo cha Usafiri wa Anga kuhakikisha thamani ya ujenzi inaendana kikamilifu na fedha zilizotolewa na Serikali. Akizungumza Machi 4, 2026 wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya mradi huo, Profesa Mbarawa alisisitiza kuwa ni lazima kupatikane “value for money”…

Read More

Uchaguzi ni kama dabi ya Kariakoo

Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 unakuja kwa kasi, na kama kawaida. Maandalizi yamejaa maneno, porojo na hekaya za kila namna. Mtaani tunapishana na mabango, bendera, fulana, khanga na kofia za wagombea. Kwa kawaida kampeni ni kachumbari ya uchaguzi. Kila chama kikipiga tantalila zake, kila mwanasiasa akijiona kuwa staa wa siasa. Na wapiga kura wanamshangilia kama…

Read More

Ripoti zabaini kasoro tano uhamaji Ngorongoro

Dar/Dodoma. Wakati tume zilizoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan zikibainisha sababu za kukwama kwa mpango wa kuwahamisha wakazi wa ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro, Serikali imesema itaendelea na mpango huo lakini kwa mfumo mpya unaosisitiza hiari ya wananchi, ushirikishwaji mpana wa jamii na marekebisho ya kasoro zilizojitokeza awali. Hayo yamebainishwa leo Alhamisi Machi 12, 2026…

Read More

Mapendekezo saba ya wadau wa demokrasia

Dar es Salaam. Wadau wa demokrasia nchini wametaja hatua zinazofaa kuchukuliwa kuimarisha mifumo ya demokrasia na kupendekeza mambo 7 muhimu ya kufanyiwa kazi likiwamo suala la kuandikwa kwa Katiba mpya. Kauli za wadau hao zimetolewa leo Jumatatu Septemba 15, 2025 katika maadhimisho ya siku ya demokrasia duniani yaliyoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za…

Read More

DK.SAMIA AWEKA MKAKATI WA KUIREJESHA TANGA YA VIWANDA

Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Tanga MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema endapo akipewa ridhaa ya kuliongoza Taifa, amedhamiria kurejesha hadhi ya mkoa huo kuwa wa viwanda. Ametoa kauli hiyo leo Septemba 29,2025 alipokuwa akizungumza na maelfu ya wananchi katika mkutano huo uliofanyika katika Uiwanja vya Usagara mkoani Tanga ambapo…

Read More