Mao ajiandaa kuitema KMC | Mwanaspoti

KIUNGO mshambuliaji wa KMC, raia wa Somalia, Ibrahim Elias ‘Mao’, huenda akaachana na timu hiyo baada ya mazungumzo ya kusaini mkataba mpya kuingia dosari, huku ikielezwa makubaliano imeshindikana kufikiwa baina ya pande hizo zote mbili. Taarifa ambazo Mwanaspoti imezipata, zinaeleza Mao hatokuwa sehemu ya timu hiyo kutokana na kutokubaliana kwa baadhi ya vifungu vya kuboreshewa…

Read More

VYAMA 17 VYAREJESHA FOMU ZA KUTEULIWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI

 Na Mwandishi Wetu. VYAMA 17 vyama vilivyochukua fomu za kuteuliwa kugombea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Kigamboni vimerejesha fomu hizo na tayari zimebandikwa ili ziweze kukaguliwa na kama kutakuwa na upungufu wagombea wanaweza kuwekewa pingamizi. Aidha, wagombea wote wameteuliwa kugombea nafasi hiyo kwa hatua ya kuanza kampeni, kama hakutakuwa na pingamizi kwa wagombea yeyote…

Read More

Kinda Mtanzania atimkia Manchester | Mwanaspoti

SAFARI ya kinda wa Kitanzania, Gwakisa Mwakipesile  imeanza kuonja ladha ya ushindani wa soka katika Ligi Kuu ya Vijana England baada ya kucheza mechi yake ya kwanza kwa walio na umri chini ya miaka 18. Mwakipesile anayekipiga katika timu ya vijana ya Manchester Rose FC alipata nafasi ya kucheza Alhamisi wakati timu hiyo ilipokutana na…

Read More

Dada asimulia maisha ya utoto ya Kardinali Pengo

Dar es Salaam. Katika historia ya Kanisa Katoliki Tanzania, jina la Polycarp Kardinali Pengo limebeba uzito mkubwa wa kiroho; hata hivyo, nyuma ya mavazi yake ya ukardinali kuna simulizi ya familia iliyomlea na kumshuhudia akipanda ngazi za utumishi wake. Hadi Kardinali Pengo anastaafu, amelitumikia kanisa kwa jumla ya miaka 54 akiwa padri. Miaka 42 ametumika…

Read More