Waziri Pembe aridhishwa na ujenzi wa viwanja vya michezo Pemba
WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Riziki Pembe Juma, amesema ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa viwanja vya michezo unaoendelea katika Mkoa wa Kusini Pemba. Waziri Pembe amesema hayo leo Desemba 16, 2025 katika mwendelezo wa ziara yake ya kukagua miradi ya ujenzi wa viwanja vya michezo katika Wilaya za Unguja na Pemba….