
Polisi nchini Tanzania yawakamata Mbowe na Lissu – DW – 23.09.2024
Mwenyekiti Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti, Bara, Tundu Lissu pamoja na watu wengine 14 wamekamatwa na polisi, katikati ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi na wanajeshi wakiwa wametanda katika Barabara kuu za Jiji la Dar es Salaam na viunga vyake. Maandamano ya maombolezo na amani yaliyoandaliwa na Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania, CHADEMA kufanyika leo…