
Iliyopigwa 10 ina kazi kwa Singida Black Stars
VIBONDE wa michuano ya Kombe la Cecafa Kagame, Garde-Cotes ya Djibout ambayo imechapwa jumla ya mabao 10-0 katika mechi mbili zilizopita, itakuwa na kibarua kizito leo, Jumatatu katika kundi A cha kukabiliana na Singida Black Stars kwenye uwanja wa KMC. Garde-Cotes ndiyo timu iliyoruhusu mabao mengi zaidi msimu huu katika michuano hiyo iliyoanzishwa 1967, ilianza…