Urusi kuifaidisha Tanzania na kukuza ushirikiano wa kibiashara
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni ,Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amewaalika wawekezaji kutoka nchini russia wafanyabiashara na sekta binafsi ya Urusi kuja kuchangamkia fursa nyingi ambazo bado hazijatumika Tanzania ikiwemo gesi. Akifungua mkutano baina ya wafanyabiashara wa Tanzania na Russia kwenye kongamano la kibiashara ambalo limepewa jina Russia Day(Siku ya Russia).alisema kuna maeneo mengi…