BASATA YATOA WITO WASANII KUJIRASIMISHA MTANDAONI, TAMASHA LA 17 LA MUZIKI WA CHIGOGO KUFANYIKA JULAI CHAMWINO
….. Na Carlos Claudio, Chamwino Dodoma. Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa wito kwa wasanii wote nchini kujirasimisha rasmi ili waweze kutambulika kisheria na kunufaika na fursa mbalimbali zinazotolewa na serikali, likisisitiza kuwa mfumo wa usajili unapatikana mtandaoni kupitia kiungo cha sanaa.go.tz. Wito huo umetolewa leo Februari 27, 2026 katika wilaya ya Chamwino, mkoani…