Uturuki na Uholanzi zatinga robo fainali – DW – 03.07.2024
Nchi zote mbili za Uturuki na Uholanzi zimefuzu hatua ya robo fainali kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2008. Merih Demiral alikuwa shujaa asiyetarajiwa wa Uturuki, baada ya kuifungia timu yake mabao yote mawili katika kipindi cha kwanza na cha pili. Timu zote mbili zilipata nafasi ndani ya sekunde 30 za kwanza huku Demiral akifanikiwa…