Vijana Tanzania Hawajaathirwa na Changamoto ya Afya ya Akili – Ripotii
, Ripoti mpya ya kimataifa imeitaja Tanzania kushika nafasi ya tano duniani kwa kuwa kizazi cha vijana ambao hawajaathiriwa na changamoto ya afya ya akili, ikizipita nchi za Ulaya, Amerika, Asia na Kusini mwa Jangwa la Sahara. Kwa mujibu wa matokeo hayo yaliyotangazwa Washington DC kufuatia utafiti uliofanywa na taasisi ya Sapien Labs, vijana barani…